Kusafirisha mzigo kwenda Uganda

Kusafirisha mzigo kwenda Uganda

scart

Senior Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
103
Reaction score
26
Habari.
Naomba kujua njia ninayoweza kusafirisha mzigo kama wa kilo tano (nguo) kwa ajili ya biashara.
Kuna basi nimeliulizia naona gharama yake sijakubaliana.
 
Mbona uganda nasikia nguo bei rahisi ww inakuqje upeleke kule tena?
 
Habari.
Naomba kujua njia ninayoweza kusafirisha mzigo kama wa kilo tano (nguo) kwa ajili ya biashara.
Kuna basi nimeliulizia naona gharama yake sijakubaliana.
ukienda kwenye basi usitaje gharama kubwa ya hizo nguo.
 
Tafuta mtu anayekwenda umpe aende nao achana na kulipia kwenye bus
 
Hizo huwa story tu za watanganyika wanaochukia nchi yao
upo sahihi mkuu,kule nguo ni bei ndogo mno!
Nyie wawili mnachanganyana😁😁😁
Mmoja anasema ni sahihi uganda bei rahisi
mwingine anasema hizo ni stori tuu😀😀

alpha walk fafanua kidogo maana uliye mtag kasema ni stori za kitaa tu na ww ukamtag na kusema yupo sahihi lakin ukakazia nguo ni bei rahisi😀
 
😅😅nimekosea mkuu nilitaka kumwambia huyo mdau hapo juu aliyesema Uganda nguo bei chee kuwa yupo sahihi
 
Habari.
Naomba kujua njia ninayoweza kusafirisha mzigo kama wa kilo tano (nguo) kwa ajili ya biashara.
Kuna basi nimeliulizia naona gharama yake sijakubaliana.
Sikushauri Uganda peleka Michele lakini nguo viatu kule wapi mbali
 
Mnajuwa ni nguo gani anataka kupeleka huko Uganda?Sidhani kama kila nguo zipo tu huko Uganda.
 
Back
Top Bottom