Kusafirisha Mzigo kwenda Zanzbar

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,636
Wakuu Habari?

Ninaomba kuuliza kuna mwenye taarifa za namna ya kusfirisha Conatainer ya Mzigo kutoka TZ kwenda Zanzbar taratibu zake, Tozo na mengineyo ni kiasi gani?

Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…