Kusafirisha mzigo ukinunua AliExpress

Kusafirisha mzigo ukinunua AliExpress

Naomba kufahamishwa ni kampuni gani ya kusafirisha mizigo inayoweza kusafirisha kwa haraka na kwa bei nafuu kama nikinunua Bidhaa online kwenye mtandao wa Ali express
Kwa sasa kampuni ya Ali express imeingia makubaliano na kampuni ya usafirishaji iitwayo Speedaf hivyo inawasafirishia wateja wake kwa urahisi kabix namukukufikia popote ulipo. Nawapo fasta siku kumi tu umeshapatazigo wako. Hapo ni wew tu kuweka address yako kununua mzigo wako unaletewa hadi nyumbani kwako. Mm nimeletewa had home kabisa
IMG20230511120903.jpg
 
Hao speedaf si ndio wana shutuma za kupoteza mizigo!!? Kuna memberz wamesha walalamikia, unatrack mzigo mpaka destination, unafika kuuchukua unaambiwa mbona mzigo ushachukuliwa. Au sio hao
 
Back
Top Bottom