Wenyewe wako njiani waja.
cost za DHL zipoje?Kama mzigo ni sensitive tumia Dhl
Kwa sasa kampuni ya Ali express imeingia makubaliano na kampuni ya usafirishaji iitwayo Speedaf hivyo inawasafirishia wateja wake kwa urahisi kabix namukukufikia popote ulipo. Nawapo fasta siku kumi tu umeshapatazigo wako. Hapo ni wew tu kuweka address yako kununua mzigo wako unaletewa hadi nyumbani kwako. Mm nimeletewa had home kabisaNaomba kufahamishwa ni kampuni gani ya kusafirisha mizigo inayoweza kusafirisha kwa haraka na kwa bei nafuu kama nikinunua Bidhaa online kwenye mtandao wa Ali express