Kusafirisha na kuingiza bidhaa toka nje

Kusafirisha na kuingiza bidhaa toka nje

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
216
Reaction score
119
Wana jamvi ,navutiwa sana na biashara ya kusafirisha na kuingiza bidhaa tofauti ktuka nje na ndani ya nchi, ila shida yangu ni mtiiririko wa kuanza biashara hii, YAANI NIANZEJE KWA PALE NITAKAPO KUWA TAYARI? Mwenye ujuzi ajaribu kunipa mwongozo katika haya:

1. Jinsi ya (taratibu kuanzia mwanzo hadi mwisho) Kusafirisha Mbao za aina ya Mitiki kutoka Tanzania kwenda Nje ya Tanzania kama Kenya au India na China

2. Jinsi ya Kuingiza mzigo kutoka Nje hasa mizigo ya Nguo, vifaa vya ndani, vifaa vya ujenzi na kadharika

NB: Mwenye kujua haya au mojawapo tafadhari tufaidishe taratibu zote A-Z kwa maana kama kuna viballi na wapi vinapatikana

Wakati mwema!
 
Asante sana Mkuu, nimepitia vizuri na nimejifunza mengi, UBARIKIWE SANA kwa MOYO wa kupenda maendelo ya watanzania wenzako, tafadhari kama hutojali naomba namba yako PM
 
Back
Top Bottom