Kusafirisha viazi mbatata nje ya nchi

Kusafirisha viazi mbatata nje ya nchi

DENLSON

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
949
Reaction score
1,260
Habari wana Jamii

Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege maana napeleka Congo hivyo nahitaji taratibu za export pamoja na nauli za ndege Ethopia Airline
 
wakuu hamjaona hii mada mumjibu mdau kweli? msiwe hivyo
best007 njoo huku utupe mwanga PRONDO nawe tia mwanga hapa mzee wa chimbo to chimbo hili kwa sababu za kibiashara utakuwa na hata ABC kidogo sababu mwewe ni kawaida kwako. Mrangi.
 
Habari wana Jamii

Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege maana napeleka Congo hivyo nahitaji taratibu za export pamoja na nauli za ndege Ethopia Airline
Naona wataalu wa export hawatoi majibu
 
Back
Top Bottom