Kusafisha tumbo

Kusafisha tumbo

Mafranku

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
12
Reaction score
3
Habari wa JF,natumaini sikuku ilikua njema,jamani nahitaji kusafisha tumbo langu,je nilchanganye nini na nini ili niharishe,mana nahitaji kupunguza mafuta tumboni kwa mda wa siku tatu tu,anae jua dawa au chakula anisaidie.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nenda bafuni,ukiwa na dodoki na sabuni na maji.Vinatosha kusafisha tumbo lako.Ila kama unataka kuosha utumbo,we funga na kunywa naji mengi.
 
Habari wa JF,natumaini sikuku ilikua njema,jamani nahitaji kusafisha tumbo langu,je nilchanganye nini na nini ili niharishe,mana nahitaji kupunguza mafuta tumboni kwa mda wa siku tatu tu,anae jua dawa au chakula anisaidie.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
umepewa ultimatum ya kupunguza kitambi na demu wako?
 
kunywa juice ya ukwaju kwa wingi.
 
Tumia mchanganyiko ufuatao katika Glass ya maji ya uvugu vugu:

Limao 1
Kitunguu Swaumu kilichopondwa Kijiko 1 kikubwa
Tangawizi iliyopondwa kijiko 1
Chumvi nyingi si kama ya chakula lakini ila izidi bora tu usishindwe kuinywa.

Mchanganyiko huu, unasafisha tumbo kabisa na pia unasaidia kuvuta sumu na mafuta kwenye matumbo ya ndani kwa sababu una create Osmotic Pressure!

Do, this at least once a week.
 
Nenda kwenye duka la dawa baridi nunua mafuta ya samaki. Kunywa vijiko 3 vya chakula. Ila kumbuka na kununua dawa ya kuzuia kuharisha.
 
Back
Top Bottom