baby kabae si ndio yupo upande wa tv!Nikikumbuka choice FM ya kipindi kile ni tofauti kabisa na ya sasa.
Zamani ilikuwa inapiga nyimbo kali za MAMTONI mpaka hutamani kutoka nje Lakini alivyokuja Vanessa mdee ndio kaiharibu kabisaa.
Choice FM ya sasa inapiga mpaka Taarab!
Choice FM ya sasa inapiga visingeli
Choice FM ya sasa imepoteza mvuto
Namkumbuka sana BABY CABAYE NA EVANCE BUKUKU sijui wapo wapi now
Kupromote CCMSas zot hzo za nn?
nyinyi mhashndwi boss wenu akitoka tu nyuma ya nondo mtafanya makubwa sana mtu waunga atali sanaSisi efm bado tunayo moja na bado ipo DAR tu siku ikifika mikoani nadhani watakuwa wamefungua station 100
atali=hatarinyinyi mhashndwi boss wenu akitoka tu nyuma ya nondo mtafanya makubwa sana mtu waunga atali sana
dada kwan hujanielewa majay cyo muuza ungaatali=hatari
Nina siku kama ya nne sasa BBC siipati. Ndio mkataba wao umeisha ama? By the way hiyo redio ina usikivu wa hali ya juu. Nadhani kwa usikivu its the best...Station mpya ya redio imetua jijini Dar es Salaam.
Inapatikana kwenye masafa ya 103.3 (zamani
yalikuwa yakitumiwa na BBC). Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga,
station hiyo inaonekana kuwa ya muziki peke yake
na tayari imepewa sifa za kuwa ‘Africa’s Number 1
Hits Station.’ Ni wazi kuwa inamilikiwa na kampuni
hiyo ambayo hadi sasa ina redio mbili, Clouds FM na Choice FM. Bado haijajulikana itatumia jina gani. Kwa sasa inapiga muziki peke yake.
source: Bongo5