Kusaga aonjesha ujio wa station mpya ya redio 103.3 Dar

Nadhani Choice FM ingerudi kama ilivyokua mwanzo ingekua poa sana!
 
Nina siku kama ya nne sasa BBC siipati. Ndio mkataba wao umeisha ama? By the way hiyo redio ina usikivu wa hali ya juu. Nadhani kwa usikivu its the best...
Salim Kikeke tunahitaji kupata majibu ya BBC mnahamia frequency gani!!!?????
 
Choice Fm ilikuaga ba kipindi saa saba mchana mpaka saa 8, aisee ngoma zilizokua zinahit duniani ndo ilikua muda wake huo,,
 
Mbona hizo frequency huwa zinatumiwa na BBC RADIO. Utaratibu kwenye utumiaji wake upo vipi ?
 
TCRA si walisema frequency kwa Dar zimejaa.. Sasa kama frequency za BBC zimekuwa replaced maana yake BBC ndio hatutaisikia tena?
 
Mawingu mawingu daaa ngoja na mm nijipande 2020 nikinukishe
 
Sasa nao clouds wataanza kujiita shirika la utangazaji Clouds
 

Saivi BBC wanapatikana katika frequency ipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…