AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan.
Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank. Sharti lenyewe asilim ili apate ruksa ya kuoa. Waislam wanawake hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wasio waislam unless huyo mwoaji awe amesilim, na zaidi ya hayo huyu mkewe anayoka kwenye family iliyona msimamo sana wa dini na jina la Jeseph likawa Yusuph Kusaga baada ya kusilim
Mashaallah Ustaadh Kusaga tupo pamoja!
Umenikuna mkuu! Kitufe cha senkyu hakipo hapa. Senkyu bai ze wei...!Sijui kwanini waafrika tumeendekeza sana haya maswala ya dini, ukristu uliletwa na wazungu ili iwe rahisi kwao kututawala kimiili na kiakili. Waarabu nao walikuja na yao ili watutawale na hata kutufanya watumwa.Kabla ya waarbu na wazingu kuja, kulikua hakuna cha joseph wala yusuph, sie ni kutambika na majina yetu ya kiasili na yaya kibantu.Kusilimu na kuwa mkristu hakuna faida ya aina yoyote duniani, zaidi ya kuwafurahisha wazungu wa kikristu na waarabu.hebu tuache kuabudu madini ya watu na kujali zaidi kero na shida tulizonazo hapa nchini kwetu na kwenye mafamilia yetu.
Tatizo kubwa la kubadili dini ukiwa mtu mzima ni kwamba unajikuta unakuwa huna dini-maana dini uliohamia itakuwa inakushinda (procedures n.k)kulingana na mazoea ambayo mtu umekuwa nayo-then kwenye dini yako ya awali pia hutaweza kwenda maana huko ulishaaga-so utajikuta si wa ijumaa,jumamosi wala jumapili-so at last-you are the looser
I just wanted 2like ur comment ila natumia cmu, ngoja ni LIKE hapa.Tatizo kubwa la kubadili dini ukiwa mtu mzima ni kwamba unajikuta unakuwa huna dini-maana dini uliohamia itakuwa inakushinda (procedures n.k)kulingana na mazoea ambayo mtu umekuwa nayo-then kwenye dini yako ya awali pia hutaweza kwenda maana huko ulishaaga-so utajikuta si wa ijumaa,jumamosi wala jumapili-so at last-you are the looser
Ukiwa mgeni pale mjengoni mwao Mikocheni umesimama kwenye counter unasubiri huduma, ikatokea jamaa anaingia mlangoni, basi atakuja mlinzi atakushurutisha kwa ukali ukae chini Bwana Mkubwa anaingia!! Wote mnaosubiri kwenye sehemu ya Wageni lazima mkae chini hadi apite ndiyo mnaruhusiwa kusimama. Daah! Jamaa ananata na kujifanya kama Mfalme au Mtu Muhimu Sana. Kudadeki!
Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan.
Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank. Sharti lenyewe asilim ili apate ruksa ya kuoa. Waislam wanawake hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wasio waislam unless huyo mwoaji awe amesilim, na zaidi ya hayo huyu mkewe anayoka kwenye family iliyona msimamo sana wa dini na jina la Jeseph likawa Yusuph Kusaga baada ya kusilim
Mashaallah Ustaadh Kusaga tupo pamoja!
Mkuu aka kajimbo kamenikumbusha mbali sanaCK bado anadai pamoja na kuwa 58 years young.