Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

hata kama aligundua since day one, hata baada ya miaka 3 ndiyo awe amegundua means ameona tatizo lipo kwao ndiyo maana katoa amri nyimbo zipigwe, sasa mwenye mali kaamua zipigwe alafu Babu Tale anataka Kusaga amuandikeie burua ya maelezo kweli??
Kama tatizo lipo kwao kwa uchache tu alipaswa aombe msamaha kwanza ndio mambo mengine yaendelee, kitendo cha kutokuomba msamaha wala kutoeleza sababu ya hilo tatizo huu ni UMIMI, hivyo basi WCB wanayo haki ya kuja na maamuzi yao , WCB wameweza kuishi bila Clouds na vijana wametakata saafi tu
 
Kwa nini toka Mwanzo walikuwa hawapigi Nyimbo za Wasanii wa Wasafi.. Angelijibu hilo ingekuwa murua kabisa vinginevyo ni wale wale tu
 
Nakubaliana na ww mkuu... Magic Fm pia walikuwa hawapigi ila baadae Mkubwa Fela na Mondi mwenyewe wakaenda kuweka tofauti zao sawa mambo yakawa fresh... Tatizo kwa hawa meneja wawili sallam na tale wana uswahili mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ueleweki mara nyimbo za zamani mara anadhalilisha watangazaji , tuelewi lipi sasa ,
acha uzwazwa, uliwataja wasanii wa mwaka 47 ambao wengi hawana nyimbo mpya za maana.

huyo dudubaya ni wa zamani na ana nyimbo mpya ila anawatukana hao wanaotakiwa kuzipiga nyimbo zake.
 
Clouds na Wasafi nazifananisha na Freemasons

Freemasons
they are secrett society ambao kuanzia vikao,ibada zao,sherehe zao zinafanyika kwa siri sana bila watu wa nnje kufahamu,watu huiongelea Freemason kwa maneno ya kusikia tu na kuhisi hisi ila hamna anaejua ukweli au kuthibitisha anachokiongea.

Clouds na Wasafi ni kampuni mbili tofauti zenye mmiliki mmoja mwenye team mbili tofauti,ili kuweza kuunganisha team zake ni lazima huyu mmiliki aishi kama walivyo freemasons.

Tutasema kila tuwezacho ila ukweli wanaujua wenyewe hizo media mbili wanakutana saa ngapi,wanafurahia mafanikio yao muda gani,naamini kabisa hizi kampuni mbili "kuna siri kubwa ndani yake watu wa nnje hatuwezi ijua" so tunavyo zi discuss ni sawa na kupiga tu story ambazo hazina mwisho.

Nionavyo mimi

Clouds ni mzazi na Wasafi ni mtoto

Kuna kasumba ya kwamba mzazi hakosei (sio kweli) Mzazi kuna wakati anakosea na wazazi wapo baba na mama mara nyingi ukifanya kosa mama akikusemea kwa baba Utazibuliwa hiyo haijalishi baba kaona kosa ulilofanya ila anakuadhibu kwa sababu anaamini "mama" hawezi kukusingizia.

Baba anapokuadhibu japo hajaona kosa ulilofanya hawezi kaa upande wako maana itakua ni kama kakubali ungana na ujinga wako,kivyovyote vile baba ataungana na mama na wote watakua na hasira juu yako.

Miaka inaenda mtoto aliyeadhibiwa na baba umri unakua akili inapanuka,akiwa mkubwa anakumbuka kuna siku baba alinipiga kwasababu mama alimwambia kuwa alikosea,mtoto anaamua kumfata baba kwa ujasiri kumuuliza swali

Eti baba nilipokua mdogo kuna siku ulienda kazini uliporudi mama akakwambia mimi nilifanya kosa,wewe ulinipiga sana ile siku hadi ukaniachi hii alama,Hivi baba kwann ulinipiga vile? ulikua na uhakika gani kua ni kweli nilifanya kosa? unajua mama alinisingizia siku ile akaniambia ukirudi lazima akwambie ili unichape?

Mtoto atamtwanga baba maswali kisha atamrudisha baba nyuma atamuelezea sababu za kwann mama aliamua kumsingizia ili achapwe...

Baba huyu baada ya kuelewa sababu na kugundua kweli mwanae alisingiziwa sasa inampasa kwanza "kukiri kosa" na pili inampasa tena "kumuomba msamaha" mtoto wake, "Huyo ndie mzazi bora".

ila ukiona mzazi anapoulizwa maswali na mtoto magumu magumu halafu mzazi anatumia Mabavu,ubabe,cheo cha "mzazi" kutomjibu mtoto anaamua tu kumfokea na kuyapangua maswali,unagundua fika huyu mzazi kuna NATI kichwani haijakaza ana upungufu wa kinga ya HEKIMA akilini mwake.

Sioni tatizo wala shida kama JOE atakiri kosa na kuomba msamaha, kwenye case hii namuweka JOE kama BABA na marehemu kama MAMA, ila anapoendelea kushupaza shingo kutafanya mtoto aone BABA nae ni wale wale tu.
 
Dudubaya hata akitoa nyimbo mpya haiwez kupigwa clouds coz alimtusi sana marehem Ruge kila mtu analijua hilo
acha uzwazwa, uliwataja wasanii wa mwaka 47 ambao wengi hawana nyimbo mpya za maana.

huyo dudubaya ni wa zamani na ana nyimbo mpya ila anawatukana hao wanaotakiwa kuzipiga nyimbo zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa jamaa ni wasanii sana...kusaga ana shares wasafi kwahio yeye pia ni mmliki wa wasaf...
Anaposema tuwaulize uongoz wa wasafi ana maana gani

Hii ndo michezo ya kuibiana penseli
 
Clouds wamejirudi? [emoji16][emoji16] Acha kuchekesha uzi basi mkuu [emoji16],,alafu hao unaosema ni old,,,hawajatoa ngoma mpya hadi leo au unajitoa ufahamu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yako ndogo sana, nyimbo za diamond azikupigwa clouds miaka mitano nyuma, je wasafi TV&radio inamiaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wanatufanya mazube,hizi media mbili yaani clouds na wasafi ni zake huyo fala kusaga
Mgawanyo wa hisa ni kama ifuatavyo:-
1. Juhayna Zaghalulu Ajmy (mke wa Kusaga) - 53%
2. Naseeb Abdul ( Diamond Platnumz) - 45%
3. Ali Khatib - 2% (kwa wakazi wa Zanzibar, wanamfahamu huyu babu)!

Kwahiyo sio sahihi kusema media zote mbili ni zake Kusaga !! Yeye Kusaga (au mke wake) ni mmoja tu miongoni mwa wamiliki wa Wasafi Media!
 
Hawa ni ma business minder, Kusaga bonge moja la mfanyabiashara mzuri katika Industry ya Burudani, hapa ukweli uko hivi, Kusaga kwa mwaka alikua na tamasha moja tu la Fiesta, na tayari watu wengi walikua wanachukizwa na Clouds kutopiga nyimbo za wasanii wanaowapenda, sasa kama backup ili apate hela za wanaompemda na wanaomchukia Ndio likaja wazo la kumtumia Diamond na kuanzisha media nyingine kubwa WCB, sa hivi anakula hela zote wanaomchukia wakienda WCB yupo ukimpenda ukaenda Fiesta yumo. Kiuhalisia hakuna beef yoyote kati ya Clouds media na WCB zote za Kusaga hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…