Kusahauliwa vitambulisho banks nk

Kusahauliwa vitambulisho banks nk

Tella Mande

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Posts
494
Reaction score
675
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,

Kila ninapotembelea taasisi mbalimbali ambazo ili uhudumiwe unahitajika utoe utambulisho unakutana na vitambulisho vilivyosahaulika.

Hivi vya bank ndivyo vibavyonitia simanzi kwani bank wana taarifa zako zote mpaka namba yako ya Simu.

Sasa kwanini wale watu wa customer service wasipewe hivyo vitambulisho wakaingia kwenye mfumo wakapata namba yako na kukuarifu kuwa umesahau kitambulisho chako?

Bahati mbaya sana hili ni kwa bank zote. Utakuta ID za watu kwenye vioi vya madirisha ya makarani.

Wadau, hili ambiwe nani asikie?
 
Sio wote ni wenyeji wa mkoa husika. Wengine waliingia kupata huduma mara moja
 
Back
Top Bottom