Kilugha tamko wajibu humaanisha lazima. Kwenye anuani ya uzi wako linge kaa tamko "hiari" kwenye tamko "wajibu" au "lazima".Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake.
hoja yangu ni moja.
Hii ni tamaduni au ni vipi!?
Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na ndugu wa pembeni(kitanzania)
Mtazamo wangu:
hii ni moja ya kurudishana nyuma kimaendeleo
Nilidhani ni vema iwe kutazama future ya yako kwanza na kuhudumia/kusaidia wengine isiwe ni wajibu/lazima bali iwe kulingana na uwezo wa mtu.
You spoke my mind.hii kitu binafsi siipendi na inanichukiza
hatukatai kusaidia ndugu ila iwe ni option na syo lzma
kwa mfano mtu akisikia umepata kazi anataka kuja kuishi apoapo bila kujua kuwa unaishi na bajeti au ndugu wanaanza kukuletea watoto wao ukae nao na kuwasomesha
na ukikataa inaonekana kwamba unajisikia na kikazi chako
imenitokea hii ,
mwaka juzi ndugu mmoja alitaka nilipe ada ya mwanae chuo 1.3Million kwa awamu mbili 700k awamu ya kwanza na 600k awamu ya pili ...nilikataaa ila mpka leo cpigiwi simu na wala hakuna mawasiliano.
binafsi na furaha kwa kunipunguzia mzgo kwakuwa nina familia pia
napenda wazungu wanavyoishi kila mtu anakufa na shda zake
Kama umesaidiwa nawe saidia... huo ni utuNimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake.
hoja yangu ni moja.
Hii ni tamaduni au ni vipi!?
Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na ndugu wa pembeni(kitanzania)
Mtazamo wangu:
hii ni moja ya kurudishana nyuma kimaendeleo
Nilidhani ni vema iwe kutazama future ya yako kwanza na kuhudumia/kusaidia wengine isiwe ni wajibu/lazima bali iwe kulingana na uwezo wa mtu.
hii mbinu naanza kuitumia mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Hupaswi kuwajibu vibaya. Kila wakilia shida wewe Lia mara mbili zaidi
Tema mate chini huku ni Afrika sio ulaya.. Upendo ndio nguzo kuu... Hata wewe kufika hapo kuna mikono mingi imekubeba!Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake.
hoja yangu ni moja.
Hii ni tamaduni au ni vipi!?
Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na ndugu wa pembeni(kitanzania)
Mtazamo wangu:
hii ni moja ya kurudishana nyuma kimaendeleo
Nilidhani ni vema iwe kutazama future ya yako kwanza na kuhudumia/kusaidia wengine isiwe ni wajibu/lazima bali iwe HIYARI kulingana na uwezo wa mtu.
Sasa kama na wewe ulisaidiwa, huoni unawajibika pia kuwasaidia/kuwainua wengine ili kuleta unafuu kwenye familia yenu! Na uzuri unasaidia kutokana na kile kidogo ulicho nacho. Hakuna wa kukulazimisha kutoa kipato chako chote.Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake.
hoja yangu ni moja.
Hii ni tamaduni au ni vipi!?
Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na ndugu wa pembeni(kitanzania)
Mtazamo wangu:
hii ni moja ya kurudishana nyuma kimaendeleo
Nilidhani ni vema iwe kutazama future ya yako kwanza na kuhudumia/kusaidia wengine isiwe ni wajibu/lazima bali iwe HIYARI kulingana na uwezo wa mtu.
Tumefika mahali pa kuuliza swali kama hilo?!!!Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake.
hoja yangu ni moja.
Hii ni tamaduni au ni vipi!?
Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na ndugu wa pembeni(kitanzania)
Mtazamo wangu:
hii ni moja ya kurudishana nyuma kimaendeleo
Nilidhani ni vema iwe kutazama future ya yako kwanza na kuhudumia/kusaidia wengine isiwe ni wajibu/lazima bali iwe HIYARI kulingana na uwezo wa mtu.
Kama umesaidiwa nawe saidia... huo ni utu
Kama hujasaidiwa na una uwezo wa kusaidia, saidia.. huo ni ubinadamu
Kama umesaidiwa na huna uwezo wa kusaidia, usisaidie... huo ni umaskini
Msaada ni hiari, kwa wengine ni sadaka na kwa wengine ni kutafuta kiki
Uamuzi ni wako, hakuna anayekulazimisha.... kutotoa msaada sio kosa kisheria
Relax, vuta pumzi. Maisha ni hayahaya.... Ishi utakavyo
?Kwanini isiulizwe?Tumefika mahali pa kuuliza swali kama hilo?!!!
Hivi kweli kuna haja ya kuuliza kama kusaidia ndugu ni wajibu ?! Ni wajibu na lazima, huwezi acha kuwasaidia ndugu zako na unawajibika kufanya hivyo. Kwani wao hawana wajibu wa kukusaidia wewe??Kwanini isiulizwe?