Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Kusaidia ni LAZIMA.Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake.
Hoja yangu ni moja.
Hii ni tamaduni au ni vipi!?
Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na ndugu wa pembeni(kitanzania)
Mtazamo wangu:
hii ni moja ya kurudishana nyuma kimaendeleo
Nilidhani ni vema iwe kutazama future ya yako kwanza na kuhudumia/kusaidia wengine isiwe ni wajibu/lazima bali iwe HIYARI kulingana na uwezo wa mtu.
Mungu ameshanisaidia na kunionesha kua yote hayo ni sababu ya umasikini.Familia zetu za Kitanazania nyingi ni maskini ! Kwa hiyo kama unao uwezo wa kusaidia hasa upande wa elimu usisite kufanya hivyo ili kuongeza wasomi watika ukoo wenu. Mungu akusaidie ili uweze kulitambia hilo.
Mpaka hapa umeshadhihirisha imani ya uoga na ya kimasikini.Kusaidia ni LAZIMA.
Subiri ugongwe na daladala ndio utaelewa.
Uzuri wa msaada ni kwamba hulazimishwi lakini kuwasaidia ndugu au watu baki kama uwezo upo ni jambo muhimu sana na baraka kwako.Mungu ameshanisaidia na kunionesha kua yote hayo ni sababu ya umasikini.
Najua ni ngumu kubadili hii kwenye vichwa vya watanzania.
Ndugu ni mzigo na ni sababu ya umasikini tukiendekeza hii tabia.
ulikuwa una moyo kusomesha shemeji mimi siwezi na sitakuja kufanyahii kitu ngumu sana ndugu zangu...tunapaswa kuwasaidia hakika...ila ukicheza hao ndio watakuangusha.....nlishawasomesha shemeji zangu duh...mie sikufika univ....hakika nliwalipia kwa kuunga unga.....walichokuja kuniambia....ila nimewasamehe kabisa...eti " kama baba etu angekuwepo angeweza kutosomesha...tukipata kazi tutakurudishia" na wamepigika na digrii zao...wacha...mmoja fundi simu posta,,,,mwingine keshatunguliwa 2 na baba tofauti......mie nadunda tuuu....adabu imewakaa....