blind fighter
Member
- May 17, 2021
- 62
- 82
Sasa tumekaa nyumbani wiki tatu, halafu kesho tunafungua chuo unakutana na tangazo kwamba mwanafunzi yeyote hatoruhusiwa kusain stihaki hadi pale atakapopata kitambulisho (ID) ya mwaka mzima.
Sasa mwanafunzi amelipiwa ada asilimia 100 na pia ameshaConfirm registration bado anazuiliwa asiSain mpaka apate kitambulisho. Hivi wanaosema hivi wanaAssume hali ya maisha ni sawa ee?
Sasa kwa nini tuzuiliwe kusaini boom wakati kila mwanafunzi kalipia asilimia 100 na mama samia?
Wanaosema hivi unakuta wamepokea mishahara yao siku tano kabla ya mwisho wa mwezi.. Kwa nini mnatuyesa hivi lakini?
Kingine, baada ya mama samia kuwaongezea wanafunzi ada hadi asilimia 100 kwa wale waliopata nusu ada. Kuna wengine walishalipa ada hadi wakamaliza kulipa ada, therefore wanadai chuo kiwarudishie balance, hii pia bado wamesubirishwa et watapewa mwakani. Sasa kwa nini lakini?
Kwani kurudisha ela kwenye account ya mwanafunzi baada ya kuandika barua ya refund lazima ichukue mwaka mzima kweli?
Ada tumeongezewa na Rais Samia mwezi wa pili mwanzoni, balance haturudishiwi hadi mwaka uishe kweli??