Kusajili jina la biashara kwa njia ya mtandao Brela na matatizo yake

Kusajili jina la biashara kwa njia ya mtandao Brela na matatizo yake

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
408
Tafadhali wadau wakala wa usajili wa biashara (Brela) wameanzisha mfumo wa usajili wa majina ya baishara kwa njia ya mtandao. Ila ni muda sasa mtandao huo unasumbua na haufanyi kazi. Na ukienda ofisi zao wanakataa kusajili.
Je kuna njia nyingine wadau ya kufanya?
 
Nashukuru umelileta hili sasa ni mwezi na nusu tangu nimesajiri jina lakini mpaka leo sijapata document zangu....

Ni kero sanaaa
 
Nashukuru umelileta hili sasa ni mwezi na nusu tangu nimesajiri jina lakini mpaka leo sijapata document zangu....

Ni kero sanaaa

Sasa wewe si umeweka picha ya mkapa,mwambie amwambie mdogo wake ambao yupo pale akusaidieni.
Kama sikosei ndio Mkuu,wakati mwingine tumieni mawakala
 
Back
Top Bottom