Kusajili jina la biashara

Kusajili jina la biashara

mwandorobo

Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
17
Reaction score
20
Naomba ufafanuzi kwa wenye uzoefu, ni kiasi gani kinaweza kugharimu kusajili jina la biashara?
 
20k
MTU wakukusaidia kusajili kupitia system anachukua 10k
Bora utafute mtu mwenye stationary akusaidie kujaza ..kuwa na kadi ya NIDA. Utafungua account yako kwenye page ya Brela ORS utasajili kwa kadi ya NIDA ..utajaza taaarifa za biashara na jina unalotaka etc ,location za biashara na makazi etc ...ukitafuta vishoka au watu wanaojazia watu wanachaji si chini ya laki moja..Kama huna komaa kujaza tu mwenyewe ni rahisi
 
Asante sana
 
Nicheck nikufanyie kazi hiyo
Brela utalipia 20
Mimi utanilipa 15
Malipo yng ni baada ya kazi kukamilika kesho tu nakujazia.

0629945110
 
Back
Top Bottom