mwandorobo
Member
- Jul 7, 2018
- 17
- 20
Asante mkuu20haizidi 30k
Bora utafute mtu mwenye stationary akusaidie kujaza ..kuwa na kadi ya NIDA. Utafungua account yako kwenye page ya Brela ORS utasajili kwa kadi ya NIDA ..utajaza taaarifa za biashara na jina unalotaka etc ,location za biashara na makazi etc ...ukitafuta vishoka au watu wanaojazia watu wanachaji si chini ya laki moja..Kama huna komaa kujaza tu mwenyewe ni rahisi20k
MTU wakukusaidia kusajili kupitia system anachukua 10k
Asante sanaBei elekezi ni elfu ishirini mkuu
Asante sanaBora utafute mtu mwenye stationary akusaidie kujaza ..kuwa na kadi ya NIDA. Utafungua account yako kwenye page ya Brela ORS utasajili kwa kadi ya NIDA ..utajaza taaarifa za biashara na jina unalotaka etc ,location za biashara na makazi etc ...ukitafuta vishoka au watu wanaojazia watu wanachaji si chini ya laki moja..Kama huna komaa kujaza tu mwenyewe ni rahisi