Kusajili kampuni rwanda ni siku moja tu bila longolongo. Tunajifunza nini?

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Rwanda imetajwa kuwa nchi inayovutia zaidi wawekezaji na kusajili kampuni no saa 24 tu unakuwa ushakamilisha na hakuna longolongo kama za kwetu.

Hii imevutia wafanyabiashara wengi kusajili kampuni na kuwekeza kwenye sehemu mbalimbali.

Je watanzania tunajifunza nini?
 
Ukusanyaji wa kodi tu wanataka mashine wanunue wafanyabiashara halafu watalipwa! !!!!!

Ndio watazingatia hayo mkuu??!!
 
Wekeza rwanda kama hujipendi,ukikosana na mfalme wao hata uende wapi atakusaka tu na jeshi lake la kutoa roho
 
Primitive iparamasa when will u get out of the box?
 
Tz milolongo imezidi!! Biashara za watu izo ukitaka fasta fasta kuna wayu uwalipe wakukamilishie!!
 
Wekeza rwanda kama hujipendi,ukikosana na mfalme wao hata uende wapi atakusaka tu na jeshi lake la kutoa roho


Na hilo ndilo tatizo kubwa la Rwanda....

Nilisikia kilichompata huyu millionea nikabaki mdomo wazi...

Haina maana kama mwisho wa siku biashara haina kinga!

Tribert Rujugiro Ayabatwa - After a half century of hard work in the face of overwhelming odds, Tribert Rujugiro Ayabatwa has built businesses that delivered jobs, prosperity and economic impact across Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…