Kusajili kituo cha kufanyia mtihani

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
420
Reaction score
116
Wakuu, Naomba Ushuri au Kuelekezwa Namna ya Kusajiri Kituo cha Kufanyia Mitihani ya QT na Wanaorudia Mitihani ya Kidato cha Nne. Kwa Sasa Kituo Kipo Tuition Center tu, Je Kuna Vigezo Gani Vinahitajika? Usajiri Unatolewa Wizarani au Kupitia NECTA? Na Mengine Yeyote.

Natanguliza Shukrani.
 
..nenda kwenye kituo kilichosajiliwa kufanya mitihani ya PC na QT utapewa reference number ambayo utakwenda nayo posta kulipa ada ya NECTA tsh 50,000 kwa PC na 40,000 QT,.baada ya malipo nenda internet cafe sasa ukafanye usajili wa masomo,jitaidi mwisho ni tar 29 mwezi huu,kuanzia March kutakuwa na faini kidogo.
 
Hujaelewa shida ya mleta mada..yeye anataka kusajiri kituo..sio kufanya mtihan
 

Mkuu vipi, ulipata maelekezo ya kutosha kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…