Kusajili laini za simu

BAMIZER

Member
Joined
May 2, 2022
Posts
52
Reaction score
62
Jamani mwenye uelewa juu ya hii KAZI ya kusajili lain,na maslah yake inakuaje.

Naombeni mnisaidie.kwa kunipa ushauri, natamani nifanye hii KAZI,

Mm ni mdogo enu nisaidieni Kwa ushauri na maelekezo, tafahali
 
Unataka ile ya kupita mtaani au u atakaje kuwa wazi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…