Kusajili legal aid clinic

Kusajili legal aid clinic

zebeya

Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
42
Reaction score
3
Wanajamii, mie ni mwanafunzi wa sheria chuo kikuu Mzumbe. natamani nikihitimu masomo yangu nisajili legal aid clinic.wilayani kwetu nitoe msaada wa sheria nijijini zaidi.je, hili linawezekana? kama ndiyo nifanye ili niweze kusajili? naomba msaada kwa anayejua taratibu.
 
Nina rafiki yangu nimemaliza naye Law School hivi majuzi alifungua ofisi yake naona anapiga kazi, ni PM nikutumie namba zake ili umuombe akushauri
 
Back
Top Bottom