Wanajamii, mie ni mwanafunzi wa sheria chuo kikuu Mzumbe. natamani nikihitimu masomo yangu nisajili legal aid clinic.wilayani kwetu nitoe msaada wa sheria nijijini zaidi.je, hili linawezekana? kama ndiyo nifanye ili niweze kusajili? naomba msaada kwa anayejua taratibu.