Kusajili TIN online bado ipo?

Kusajili TIN online bado ipo?

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,491
Nawauliza TRA, ile huduma yenu ya kusajili TIN number online bado ipo?. Siku ya tatu leo nimesajili TIN online lakini bado naambiwa ombi linashughulikiwa.

Kipindi kile mmeanzisha hii huduma ilikuwa ndani ya masaa kadhaa unapata TIN number yako.

Kwenye tovuti yenu kuna number ya whatsapp, nimejaribu kutuma ujumbe lakini mpaka leo ujumbe hata kufunguliwa haujafunguliwa.

I wonder kama hata hiyo number yenyewe bado ipo na inafanyakazi.
 
Hayo mambo ya kitekenolojia yalikuwa ya yule mshamba wa sukuma gang, sisi tumerudia zama zetu fanisi, kapange foleni mwamba!
 
Huduma hii ilizikwa March 17, 2021. Sasa hivi unatakiwa kuja ofisini tukutoe upepo kwanza.
 
Nawauliza TRA, ile huduma yenu ya kusajili TIN number online bado ipo?. Siku ya tatu leo nimesajili TIN online lakini bado naambiwa ombi linashughulikiwa.

Kipindi kile mmeanzisha hii huduma ilikuwa ndani ya masaa kadhaa unapata TIN number yako.

Kwenye tovuti yenu kuna number ya whatsapp, nimejaribu kutuma ujumbe lakini mpaka leo ujumbe hata kufunguliwa haujafunguliwa.

I wonder kama hata hiyo number yenyewe bado ipo na inafanyakazi.
Bado ipo, kama ulishawahi jisajili siku za nyuma basi ni mpaka uende ofisini kwao ndo utafanikiwa kupata hiyo
 
Back
Top Bottom