Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Chochote kituHuduma hii ilizikwa March 17, 2021. Sasa hivi unatakiwa kuja ofisini tukutoe upepo kwanza.
Bado ipo, kama ulishawahi jisajili siku za nyuma basi ni mpaka uende ofisini kwao ndo utafanikiwa kupata hiyoNawauliza TRA, ile huduma yenu ya kusajili TIN number online bado ipo?. Siku ya tatu leo nimesajili TIN online lakini bado naambiwa ombi linashughulikiwa.
Kipindi kile mmeanzisha hii huduma ilikuwa ndani ya masaa kadhaa unapata TIN number yako.
Kwenye tovuti yenu kuna number ya whatsapp, nimejaribu kutuma ujumbe lakini mpaka leo ujumbe hata kufunguliwa haujafunguliwa.
I wonder kama hata hiyo number yenyewe bado ipo na inafanyakazi.