Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
KAMA HUWA ANAKUSALITI, SEMA "HE/SHE CHEATS ON ME".
Tunapozungumzia suala la usaliti katika mapenzi, yaani fulani anakusaliti, huwa tunatumia preposition "on". Ambao wamesoma nasi kwenye mada ya "Preposition collocations" wanaelewa nazungumzia nini.
Usitumie "cheat" peke yake bila preposition "on" kwenye muktadha huu.
MIFANO YA SENTENSI SAHIHI:
1. Jesca cheated on me. - Jesca alinisaliti.
2. Jesca cheats on me. - Jesca huwa ananisaliti. (Simple Present Tense.
3. Jesca is cheating on me. - Jesca ananisaliti (Present Continuous Tense)
4. Don't cheat on your husband. - Usimsaliti mmeo/mume wako.
5. Don't cheat on your wife. - Usimsakiti mkeo/mke wako.
SENTENSI AMBAZO SIO SAHIHI:
1. Jesca cheated me.
2. Jesca cheats me.
3. Jesca is cheating me.
4. Don't cheat your husband.
5. Don't cheat your wife.
Nje na muktadha wa usaliti, neno "cheat huweza kutumika kumaanisha "danganya". Hapa unaruhusiwa kutumia "cheat" peke yake bila "on".
TUTAZAME MIFANO:
1. You will regret to cheat me. - Utajuta kunidanganya.
2. He knows how to cheat people. - Anajua jinsi ya kudanganya watu.