joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kufanya makosa ni sehemu ya maisha ya kawaida kwa nchi au binadamu, lakini ikifika hatua ya kulaumiana na kuonyesha na vidole, hiyo ni dalili ya kukata tamaa na kushindwa kurekebisha makosa ili kusonga mbele, baada ya kulaumiana kinachofuata ni kuchapana makofi.
Eeeh bwana Mungu WETU, jaribu kuondoa laana uliyoweka kwa jirani yetu, laana ya ukabila, rushwa, ubinafsi, ulafi na ukora, badala yake uwajaze Amani, Upendo, na vyakula tele kama ulivyoijalia Tanzania, nchi ya maziwa na asali. Amen