Kig
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,076
- 458
Nina wazo la biashara ambayo itahusisha kununua kuku, kuwachinja, kuhifadhi nyama ya kuku kwenye freezer na hatimaye kusambaza kwa walaji hasa wachoma chips, migahawani, mahotelini na sehemu nyingine kutegemeana na soko. Tafadhalini sana Naomba watu wenye uzoefu au wenye uelewa kuhusiana na hii biashara wanifungue macho kidogo, wanipe uzoefu, changamoto zake, mambo ambayo nahitaji kuyazingatia nk