sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
- Thread starter
-
- #21
Kusahau inakuwa ni ngumu ila kumtakia mtu uliyemsamehe kuwa nimekusamehe ila sitakusahau ni kama hujatekeleza sawa sawa msahama wako
Msamehe na ishi kawaida na lione tukio limepita japo kuna sehem unakumbuka kitu kinakutia machungu ila usimlaani yule mhusika moyoni mwako kuwa bila yeye lisingetokea
kaitoe bwana inaniudhi kweliAhaaaa bebii unataka hadi nikupe mji ndio utaje?
kusamehe ni kugumu sana bebii.
we bebii acha kumharass Sulpha bana,ntakuchapa!
sijaelewa hayo maneno ya mwishoni mwishonibebii nakubaliana na wewe kusahau ni ngumu sana ila we reach a point ya kusema it is over now we have to move on with our life and life has to go on
kusahau ngumu sana
anayo sehemu hiyo picha akaitoe na huko ndo tumsamehewe bebii acha kumharass Sulpha bana,ntakuchapa!
kwani MUNGU ni binadamu? nazungumzia binadamu mkuu...Kwa hiyo hata mungu naye asahau?
Lakini mbona mwenyezi mungu anatusamehe makosa yetu?
Nafikiri zuri la kufanya ni hilo la kuwacha yapite, kwaniKusamehe bila kusahau ndi kutosamehe.....
bora useme sijasamehe but i let it go......
Sulpha kazi kwako maana nahisi hiyo picha iko kwenye dressing table ya mtu,kaitoe bana ili Bebii roho ikwatuke.anayo sehemu hiyo picha akaitoe na huko ndo tumsamehe
sijaelewa hayo maneno ya mwishoni mwishoni
Bishanga:Bebii analolote muongo huyo,mbona ataki kusema kuwa hiyo picha ipo wapi?Sulpha kazi kwako maana nahisi hiyo picha iko kwenye dressing table ya mtu,kaitoe bana ili Bebii roho ikwatuke.
Namaanisha ifikie mahali useme sasa basi nimeshahuzunika vya kutoha na kukasirika vya kutosha na kulaani vya kutosha wacha sasa nisahau na niendelee na maisha yangu kwani tukio lishatokea na limeisha
sulpha mimi sio muongo pls tuheshimiane? we katoe picha bwanaBishanga:Bebii analolote muongo huyo,mbona ataki kusema kuwa hiyo picha ipo wapi?
Kusamehe bila kusahau ndi kutosamehe.....
bora useme sijasamehe but i let it go......
Kusamehe ni rahisi kuliko kusahau.
sulpha mimi sio muongo pls tuheshimiane? We katoe picha bwana
Soma post ya MAMMIA,unaweza samehe alafu yule kiumbe au mtu uliye msamehe anakuja kufanya ujinga tena utafanyaje?