Kusamehe ni kitu kigumu sana:


Kama tumesameheana na mtu na then huyo mtu kila nikikutoana nae anarudia the same story tena kwa namna ya lawama huyo mtu hajasamehe na wakla halijamtoka mkuu na bado ana kinyongo na wewe
Wapaswa kusamehe na hapo ndipo tunasema kusahau tukio hata tukikutana tusiliongelee
Sasa kama bado unaendelea kunilaumu ulinisamehe nini sasa
 

Hapo kwenye red:wapo wengi sana watu wa namna hii,anasema amekusamehe lakini unaenda kusikia maneno sehemu nyingine.Hakika watu kama hawa mungu awezi kuwasamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…