Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ameruka No reform, akaja na Election, yale yale ya Amani amani bila kutaja Haki.Acha kuchagua chagua maneno ambayo unaona yanafaa kulingana na mtazamo wako, CHADEMA wameweka conditional sentence Kwamba "If no reform, no election" hakuna aliyesema uchaguzi usiwepo ila huo uchaguzi lazima kuwe na mabadiliko ya sheria za uchaguzi ikiwemo kuunda tume huru, tofauti na iliyopo sasa, kwanza imeteuliwa na raisi ambaye naye ni mnufaika wa uchaguzi, wakurugenzi ndio wanaohusika kutangaza matokeo kwenye majimbo ikiwa ni wateule wa Raisi, hapo kuna uchaguzi gani
akawaambie wajinga wajinga hukoAmeruka No reform, akaja na Election, yale yale ya Amani amani bila kutaja Haki.
Serikali ni nani ?CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.
Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.
Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".
Sasa Chadema wanakosa political maturity.
Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.
Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.
Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.
Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.
We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.
Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.
Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?
Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
Maua Mkuu 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐CCM must go
Mabadiliko ya kisiasa ni sasaMaua Mkuu 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐

Umesikiliza ufafanuzi wa mantiki ya kauli mbiu hiyo iliyotolewa kwa ufafanuzi na Tundu?CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.
Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.
Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".
Sasa Chadema wanakosa political maturity.
Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.
Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.
Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.
Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.
We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.
Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.
Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?
Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
Huyu nj mpuuzi sana na ana laana kama ccm!Ngumbaru wewe
Ila ni MTU mzima Sana huyoHuyu nj mpuuzi sana na ana laana kama ccm!
Ile nashine ya kurekebisha inaitwaje?Ngumbaru wewe
Name calling inaweza kukupa ban kakaSasa kaka Andrew Nyerere, kama na uzee wako unategemeaa posho ya serikali ya cccm ili maisha yaende, huwezi kumuelewa Lissu
Leo umeongea la maana sana!.CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.
Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.
Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".
Sasa Chadema wanakosa political maturity.
Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.
Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.
Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.
Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.
We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.
Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.
Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?
Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
There is nothing they can do!, take it from me!, There is no way anyone can stop the election!.WANAANZA NA NO REFORM. KAMA HAKUNA MABADILIKO