Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu nyingine

Mcheao wa jana baina ya timu ya Simba na KMC ulikuwa ni mchezo mzuri sana na timu ya Simba ilionyesha kiwango cha juu cha kusakata mpira.

Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu zingine.
Hata utopwinyo wanajua
 
Mcheao wa jana baina ya timu ya Simba na KMC ulikuwa ni mchezo mzuri sana na timu ya Simba ilionyesha kiwango cha juu cha kusakata mpira.

Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu zingine.
Ungekuwa tishio usingekubali kufungwa mara 4 na utopolo
 
Kuna beki alichomesha makusudi goli la nne, makosa ya kibinadamu ni mengi
 
Mcheao wa jana baina ya timu ya Simba na KMC ulikuwa ni mchezo mzuri sana na timu ya Simba ilionyesha kiwango cha juu cha kusakata mpira.

Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu zingine.
Umemfunga kmc wa aina Gani kwanza tuanzie hapo! Kama angekutana kmc aliyecheza na yanga na kmc aliyecheza na Simba wangepigana, ni vitu viwili tofauti!
 
Utopolo hawataki refa kutoka nje ya nchi😁..viongozi wao nasikia wanapinga sana hili
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Umemfunga kmc wa aina Gani kwanza tuanzie hapo! Kama angekutana kmc aliyecheza na yanga na kmc aliyecheza na Simba wangepigana, ni vitu viwili tofauti!
kmc aliyecheza na yanga ni yupi? Anatokea nchi gani?
 
Back
Top Bottom