kazikwelikweli
Member
- Nov 11, 2010
- 76
- 54
Habarini wakuu ninagari nimenunua toka japani ina changamoto ya frequency kutokuwiana na za bongo.Mfano frequency za radio zinaanzia 76 mpaka 90 wakati za bongo nyingi zinaazia 80 mpaka 100 nakuendelea.Naomba mwenye utaalamu wa ku reset maana lugha ya kijapani chagamoto.Nawasilisha.