kazikwelikweli
Member
- Nov 11, 2010
- 76
- 54
Nunua radio nyingine tuu hiyo radio yako inauwezo mdogoHabarini wakuu ninagari nimenunua toka japani ina changamoto ya frequency kutokuwiana na za bongo.Mfano frequency za radio zinaanzia 76 mpaka 90 wakati za bongo nyingi zinaazia 80 mpaka 100 nakuendelea.Naomba mwenye utaalamu wa ku reset maana lugha ya kijapani chagamoto.Nawasilisha.
Redio zinazokuja na gar ni za zamani ila kuna kifaa fundi wanakufungia na unapata frequency zote kama redio za kisasa kama upo Moshi nicall nikuelekeze kwa hao fundiHabarini wakuu ninagari nimenunua toka japani ina changamoto ya frequency kutokuwiana na za bongo.Mfano frequency za radio zinaanzia 76 mpaka 90 wakati za bongo nyingi zinaazia 80 mpaka 100 nakuendelea.Naomba mwenye utaalamu wa ku reset maana lugha ya kijapani chagamoto.Nawasilisha.
Kuna kifaa kinaitwa band extender. Kiko madukani, nafikiri haizidi Sh 20,000 kununua na kukifunga. Changamoto yake ni kwamba namba zitasomeka hizo hizo za Japan ila itashika kwa frequency za KibongoHabarini wakuu ninagari nimenunua toka japani ina changamoto ya frequency kutokuwiana na za bongo.Mfano frequency za radio zinaanzia 76 mpaka 90 wakati za bongo nyingi zinaazia 80 mpaka 100 nakuendelea.Naomba mwenye utaalamu wa ku reset maana lugha ya kijapani chagamoto.Nawasilisha.
Ahsante mkuu ngoja nijipange ninunue radio nyingine.....!!Kuna kifaa kinaitwa band extender. Kiko madukani, nafikiri haizidi Sh 20,000 kununua na kukifunga. Changamoto yake ni kwamba namba zitasomeka hizo hizo za Japan ila itashika kwa frequency za Kibongo
Mkuu andaa laki mbili ukafungiwe radio ambayo ni touch screen tena inamaliza frequency zote. nenda dick sound au pazi sound tabata segereaHabarini wakuu ninagari nimenunua toka japani ina changamoto ya frequency kutokuwiana na za bongo.Mfano frequency za radio zinaanzia 76 mpaka 90 wakati za bongo nyingi zinaazia 80 mpaka 100 nakuendelea.Naomba mwenye utaalamu wa ku reset maana lugha ya kijapani chagamoto.Nawasilisha.
gharama ni laki 2??Mkuu andaa laki mbili ukafungiwe radio ambayo ni touch screen tena inamaliza frequency zote. nenda dick sound au pazi sound tabata segerea
Hapo si unanunua redio hata mbili mkuugharama ni laki 2??
Huna haja ya kununua radio nyingine mkuu, ushauri Wa kununua band extender ni murua kabisa. Mimi ninayo na inafanya vizuri kabisa.Ahsante mkuu ngoja nijipange ninunue radio nyingine.....!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninua Gari jipya mkuu hilo ni fake, hakikisha redio yake inaimba wimbo wa Tanzania ya viwanda
Mkuu unapoenda kununua radio nyingine hakikisha unanunua radio origional achana na hizi brand fekero za china mimi nilinunua sony origional kwa 180,0000 mwaka jana kuna jamaa yangu alinunua mchina na ilikuwa inacheza hata dvd ila baada ya muda mfupi imegoma kucheza hata cd!!!!Ahsante mkuu ngoja nijipange ninunue radio nyingine.....!!
Mkuu andaa laki mbili ukafungiwe radio ambayo ni touch screen tena inamaliza frequency zote. nenda dick sound au pazi sound tabata segerea
Mkuu ngoja nijipange....nashukuru kwa ushauri.Radio (brand)gani ni nzuri..Mkuu andaa laki mbili ukafungiwe radio ambayo ni touch screen tena inamaliza frequency zote. nenda dick sound au pazi sound tabata segerea
Pioneer ni nzuri zaidi mkuuMkuu ngoja nijipange....nashukuru kwa ushauri.Radio (brand)gani ni nzuri..