Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
I will be short.
Azam FC should say sorry to the fans and Tanzanians who supported them.
they returned home kienyeji sana, people need answers.
Kiswahili sasa;
Azam FC ni wajinga sana, bila kuruhusu watu kutoa hoja zao kuhusu team ya Azam FC pale Azam amna kitu kitaenda.
Mwenye team amekaa mbali sana na mashabiki. Support anakosa. Arudi kwa mashabiki sio kutegemea pesa, mashabiki should have a say.
Kuwa shabiki wa Azam FC ni kama kupenda mke wa mtu, bora turudi simba na Yanga tu. huku mashabiki wana nguvu.
Azam FC ni tajiri na pesa zake tu.