Kushabikia kura ya wazi ni wendawazimu

Kushabikia kura ya wazi ni wendawazimu

2.jpg
 
Mkuu ufafanuzi upi tena??!! Kura za wazi bungeni ni usanii tu,hivi kweli maslahi ya Taifa na vizazi vijavyo kuamliwa kwa kupiga kelele kama watu wapo kwenye kibanda cha gongo ni haki na best option kuliko zote??!!

Kwa busara ipi unasema waliopaza sauti kubwa wameshinda Ikiwa kuna mijitu ina sauti kubwa zaidi ya wengine waliosema Hapana na ni wengi??!! Iko wazi kuna mibunge inalalaga na kukurupuka tu na kugonga meza,kwenye kusema ndio pia si wapo??!!

Ikiwa kura ni suala la uchaguzi binafsi wa mtu na pia ni haki muhimu iliyo kwenye katiba,kwa nini CCM hamtaki kura hii ya siri??!! Wenyeviti wa bunge wanachaguliwa kwa siri,rasimu na vipengele vyake eti watu wapige mayowe,so pathetic,maza fanta!!!
 
Mjadala huu umezidisha hasira zangu kwa CCM, wanafiki, wapuuzi na wazandiki. Kwa nini hawajabadilisha kanuni za chama zao ili wapigiane kura kwa uwazi kama wanavyotaka kutuburuza kwenye katiba yetu! Naogopa kutumia maneno mabaya zaidi nisije nikafungiwa lakini ukweli hawastahili heshima yoyote hawa wapuuzi
 
hata mimi naunga mkono kura ya siri lakini lugha ya kuwaita wendawazimu wanaoshabikia kura ya wazi sio nzuri, jambo la msingi tujenge hoja ili wao pia waone uzuri wa kura ya siri.
 
Mkuu ufafanuzi upi tena??!! Kura za wazi bungeni ni usanii tu,hivi kweli maslahi ya Taifa na vizazi vijavyo kuamliwa kwa kupiga kelele kama watu wapo kwenye kibanda cha gongo ni haki na best option kuliko zote??!!

Kwa busara ipi unasema waliopaza sauti kubwa wameshinda Ikiwa kuna mijitu ina sauti kubwa zaidi ya wengine waliosema Hapana na ni wengi??!! Iko wazi kuna mibunge inalalaga na kukurupuka tu na kugonga meza,kwenye kusema ndio pia si wapo??!!

Ikiwa kura ni suala la uchaguzi binafsi wa mtu na pia ni haki muhimu iliyo kwenye katiba,kwa nini CCM hamtaki kura hii ya siri??!! Wenyeviti wa bunge wanachaguliwa kwa siri,rasimu na vipengele vyake eti watu wapige mayowe,so pathetic,maza fanta!!!
usichokijua ni kuwa hiyo kura wenzako wanafanya mtaji, WANAUZA!!!!! nyie shangilieni hiyo kura ya siri kuwanufaisha wajumbe, eti mnajidanganya ikipigwa kura ya siri mipango ya ccm itakwama, THUBUTUUUUUU. IPIGWE KURA YA WAZI TUWAJUE WALIONUNULIWA NA WALE KUNGURU WA ZANZIBAR/waoga AMBAO HAWAWEZI(kwa woga au chochote kile) KUSIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI WAO!!!!!wahukumiwe na kizazi cha sasa na vijavyo kwa udhaifu wao.....tusikubali kamwe kuwapa hifadhi wasaliti hawa
 
hata mimi naunga mkono kura ya siri lakini lugha ya kuwaita wendawazimu wanaoshabikia kura ya wazi sio nzuri, jambo la msingi tujenge hoja ili wao pia waone uzuri wa kura ya siri.
hiv mtu anapojifanya kiziwi ilihali unamfaham cyo kiziwi utamwitaje ? ccm ndan ya chama wanapofanya chaguz hutumia kura za siri, iweje kwenye ishu ya katiba waseme kura ya waz ? wote ni nyambaf na wendawazm kwan wako kwa maslah yao na c ya taifa
 
Kura ni siri ya mpiga kura,
hakuna mwenye haki ya kufikiri kwa niaba ya wengine.
 
hiv mtu anapojifanya kiziwi ilihali unamfaham cyo kiziwi utamwitaje ? ccm ndan ya chama wanapofanya chaguz hutumia kura za siri, iweje kwenye ishu ya katiba waseme kura ya waz ? wote ni nyambaf na wendawazm kwan wako kwa maslah yao na c ya taifa
teh...........teh.............teh........teh........haya ndugu yangu kama inasaidia kupunguza machungu uliyonayo kwa ccm basi angalao mara hiyo iwe ya mwisho.......teh.......teh.....
 
Huu ni mtizamo wangu. Lengo la kura ya wazi ni kuwajua Wabunge wa CCM ambao wataunga mkono serikali tatu wakati wanashinikizwa na chama chao kuunga mkono serikali mbili. Hapo hakuna uzalendo bali uchafu mtupu.
 
Unaunga mkono kichwa kichwa kwa kujirisha wewe au kwa maslahi ya nchi
 
teh...........teh.............teh........teh........haya ndugu yangu kama inasaidia kupunguza machungu uliyonayo kwa ccm basi angalao mara hiyo iwe ya mwisho.......teh.......teh.....
wewe ni moderator nn mkuu?
 
ccm ni wasanii sana,jana MZEE CHEYO amewaambia kuwa nchi hii waliokuwa wawazi waliishia wapi?akawauliza vipi kuhusu KAMBONA?CCM lazima busara iwaongoze
tatizo la ccm ni kuwa awaaminiani kabisa,kwanza wao wako wengi sana,sasa wana wasiwasi gani?
na rungwe aliwauliza kura za mwenyekiti wa bunge la katiba zinatakiwa ziwe za uwazi kama anagombea lowasa,ama sitta watu wajipange kwenye mstari ukiongozwa na kinara wao itawezekana?
 
hata mimi naunga mkono kura ya siri lakini lugha ya kuwaita wendawazimu wanaoshabikia kura ya wazi sio nzuri, jambo la msingi tujenge hoja ili wao pia waone uzuri wa kura ya siri.

Kumbe wewe unadhani hoja za kura ya siri hawazitambui! Pole!
...
Kiufupi kura ya siri haina maslahi kwa CCM na ndio sababu wanang'ang'ania kura ya wazi ili wale watakaopinga sera zao waweze kuwatoa meno bila ganzi!
 
usichokijua ni kuwa hiyo kura wenzako wanafanya mtaji, WANAUZA!!!!! nyie shangilieni hiyo kura ya siri kuwanufaisha wajumbe, eti mnajidanganya ikipigwa kura ya siri mipango ya ccm itakwama, THUBUTUUUUUU. IPIGWE KURA YA WAZI TUWAJUE WALIONUNULIWA NA WALE KUNGURU WA ZANZIBAR/waoga AMBAO HAWAWEZI(kwa woga au chochote kile) KUSIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI WAO!!!!! wahukumiwe na kizazi cha sasa na vijavyo kwa udhaifu wao.....tusikubali kamwe kuwapa hifadhi wasaliti hawa

Duh! Mkuu mkuu nakubaliana na Kura za siri, ila hapo underline umeongea point!
Lakini hata hivyo bado sijashawishika na kura ya wazi kwa hoja ya kuwapima viongozi wa Zanzibar!
Nahisi tungefuata kanuni za kidemokrasia kuhakikisha wajumbe wanatoa ya moyoni bila ya kuhatarisha maisha yao!
...
Hayo ya Wazenji yangeachwa yajadiliwe na wenyewe! Kwa sababu sheria ya Zanzibar inataka kura ya Wananchi ktk kupitisha mambo yao!
 
Back
Top Bottom