Kushabikia kura ya wazi ni wendawazimu


Naunga mkono kura ya siri. Naomba nikutoe wasiwasi ndugu yangu, kura ya siri hata kama mtu akihongwa anaweza akachukua pesa na akapiga kura kile anachokiamini. Mtu akihongwa na ni kura ya wazi, 100% atachukua hela na atapiga kura kwa matakwa ya waliompa hela. Kuna msemo wakati wa uchaguzi wa 2010, wapinzani walikuwa wanasema, pesa zao chukua, ila kura ni siri yako, ucwapigie kura tupigie sisi. Kura ya siri haitaleta mgawanyiko mkubwa sana baina ya wajumbe. ila faida kubwa ni ile ya mjumbe kupigia kura hoja au kifungu anachoona kina manufaa kwa wananchi pacpokujari chama chake (including wapinzani, mana nao wana misimamo waliyoiweka ndani ya vyama vyao) kina msimamo upi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…