Kushabikia timu za EPL huko UEFA ni presha tupu!

mpuuzi sana yule bilionea. Unampa mtu timu kubwa kama ile ajifunzie ukocha?? Ndo madhara ya kuuza timu haya. Sidhani kama kuna shabiki ataunga mkono hili jambo licha ya lampard kuwa legend pale chelsea.
Utopolo huu haijawahi tokea hii fursa angempa Pochetino
 
Sema njia za chocho wanazopita "The Rossoneri" AC Milan ni hatari, wanakatiza hadi fainali kiutani utani tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nusu fainali ni Milan derby
Ac Milan Vs Inter Milan
Uwanja mmoja majina mawili
Giuseppe meazza na San Siro hawa jamaa watauana
 
Nusu fainali ni Milan derby
Ac Milan Vs Inter Milan
Uwanja mmoja majina mawili
Giuseppe meazza na San Siro hawa jamaa watauana
I wish iwe hivi.

Vijana wa Pep wameshaniboa.
 
Yan msimu ujao inabidi mateam ya EPL yawe kivyake, na UEFA yawe kivyake. Siku zikikutana unabaki na team zako za UEFA.

BTW Chesii wako na UEFA.. hilo hilo litapostiwa kama TBT
 
Made in brasil πŸ˜‚πŸ˜‚

Pole dada mwaya

What next? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikawatafute hata Mbeya City au Ihefu huko,

Ahsante...!!
 
Yan msimu ujao inabidi mateam ya EPL yawe kivyake, na UEFA yawe kivyake. Siku zikikutana unabaki na team zako za UEFA.

BTW Chesii wako na UEFA.. hilo hilo litapostiwa kama TBT

ubaya huwezi hama timu,utaumia tu kimoyomoyo.
 
Betht league in the world πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…