Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mashambulizi ya Viongozi na MaCCM dhidi ya Tundu Lissu ni kiwewe cha wenye mapepo ya ukosefu wa hekima, busara na hofu ya kushindwa kwao kwa jaribio la dhuluma ya nafsi ya TUNDU LISSU.
Lissu survived miraculously, sasa wanaona mission yao imeanikwa juani. Wanaweweseka kwa maagizo ya watesi wa TUNDU ambao mioyo yao imejaa hofu, husuda na dhambi kuu ya uuaji.
Ukifuatilia matamko na kejeli za kila aina za MaCCM hawa unaona kabisa hawana 'subsatance' ya kile wanachojaribu kukitetea ili kuficha udhalimu uliokusudiwa dhidi ya Mwanaharakati, Mwanasiasa na Mwanasheria huyu nguli.
Aina yoyote ya majibu yao dhidi ya maelezo ya Lissu juu ya kushambuliwa kwake yanaonesha udhaifu,uzwazwa na ukengeufu mkubwa. Wengi wao wanajibu na kuzungumza kama washamba, lakini nyuso zao zinaonesha alama ya msongo na aibu kubwa kutokana na ukatili waliomfanyia Lissu.
Bila shaka LISSU kasimama, Mungu AMEKATAA kumchukua kabla hajatimiza maono yake na kuweza kuumbua utawala dhalimu uliokumbwa na ulafi wa nafsi za wakosoaji wake.
Watanzania wenzangu, Lissu aliumizwa sana ni mpango wa Mungu tu kusalia leo hii anapumua na kuendelea kusimama katika haki kama ilivyo tabia yake. Pamoja na tote haya napenda kuwakumbusha na kuwaomba kuwa anachopigania Lissu si vita yake binafsi bali utetezi wa haki za binadamu, haki zilizopo kikatiba, utetezi wa unyonyaji wa rasilimali zetu kwa wajanja wajinga hawa kujivika vilemba vya unafiki ati wanapigana na kupambana na ufisadi. Tusikubali upuuzi na ushamba wa washamba wenye ghiliba! Tuungane na TUNDU kudai haki zinazoporwa kwa kasi huku tukiona wazi.
They're naked and now they're trying to cover themselves with a transparent musk, they're still naked!!