kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Weekend iliyopita nilikuwa nafanya research maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam juu ya wauza simu za aina ya iPhone.
Nilichogundua wauzaji wengi ni matapeli hawana mitaji na ni madalali wa kutupwa, yaani ubabaishaji mwingi mara unahitaji simu wanakuambia mzigo upo store kumbe magumashi tupu, eti unaonyeshwa iPhone full box kumbe refublish na saa nyingine hata hiyo simu hakuna.
Tahadhali, usisubutu kununua simu za aina hiyo maeneo ya Sinza au Makumbusho na hata Kariakoo Mtaa wa Aggrey utatapeliwa.
Hao wote hawana simu za iPhone mpya ni wababaishaji tu.
You will thank me later.
Kzba
Sent using Jamii Forums mobile app