Kushare habari na kupata malipo kwa njia ya mtandao

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
ni kampuni gani au blog gani ambayo inalipa kwa mpesa, tigopesa au airtel money endapo utashare habari zao kwenye akaunti yako facebook au kwenye blog yako?. nimeuliza maana nasikia makampuni mengi yanalipa kwa paypal na wengine paypal ni mashikolo mageni kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…