Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Wadau naombeni msaada kila niki sign in kwa acount yangu ya kawida inafunguka lakini haionyeshi kitu inaniambia try to use browers na mm natumia sim nili down load kama application sasa inasumbua wahusika naombeni msaada nimemisi sana jamvin kuingia kwa application iko bomba zaidi pia wadau naomba msaada