Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Alinawa kwa spirit na maji na sabuniAlichukua hatua gani baada ya kugusa
Hi all napenda kuuliza hivi karibuni ilitokea rafiki yangu ameshika damu ya muathirika wa ukimwi aliyekuwa akimuhudumia ikamgusa kwenye mkono hakuwa amevaa gloves na wala hakuwa na michubuko. Anaweza kupata maambukizi kwa njia hii? Naomba kwaslilisha
Hapana kuwa na amani sio rahisi kupata ukimwiHi all napenda kuuliza hivi karibuni ilitokea rafiki yangu ameshika damu ya muathirika wa ukimwi aliyekuwa akimuhudumia ikamgusa kwenye mkono hakuwa amevaa gloves na wala hakuwa na michubuko. Anaweza kupata maambukizi kwa njia hii? Naomba kwaslilisha