Uchaguzi 2020 Kushinda na kushindwa vyote ni demokrasia

WALEO JOHN

Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
11
Reaction score
6
Sisi ni Taifa moja lenye umoja mshikamano, lenye lugha moja upendo na amani, lenye kuamini usawa na demokrasia,
Tuzingatie umoja wetu mwaka huu wa uchaguzi,
Isije kuwa mpinzani akishidwa basi si demokrasia, na mtawala akishinda vivyo hivyo.
Kushindwa na kushinda vyote ni demokrasia.
Naipenda Tanzania ya leo
 
Inakuwa demokrasia endapo misingi yake yote imefuatwa kwa vitendo.
 
Sisi ni Taifa moja lenye umoja mshikamano, lenye lugha moja upendo na amani, lenye kuamini usawa na demokrasia,
Tuzingatie umoja wetu mwaka huu wa uchaguzi,
Isije kuwa mpinzani akishidwa basi si demokrasia, na mtawala akishinda vivyo hivyo.
Kushindwa na kushinda vyote ni demokrasia.
Naipenda Tanzania ya leo
naunga mkono
 
Misingi hufuatwa yote kwa uwazi ila tatizo ni upande wa pili kukosa imani
 
Sisi ni Taifa moja lenye umoja mshikamano, lenye lugha moja upendo na amani, lenye kuamini usawa na demokrasia,
Tuzingatie umoja wetu mwaka huu wa uchaguzi,
Isije kuwa mpinzani akishidwa basi si demokrasia, na mtawala akishinda vivyo hivyo.
Kushindwa na kushinda vyote ni demokrasia.
Naipenda Tanzania ya leo
And vice versa is true.
 
..CCM wanaamini demokrasia maana yake ni wao kushinda na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom