WALEO JOHN
Member
- Jun 17, 2015
- 11
- 6
naunga mkonoSisi ni Taifa moja lenye umoja mshikamano, lenye lugha moja upendo na amani, lenye kuamini usawa na demokrasia,
Tuzingatie umoja wetu mwaka huu wa uchaguzi,
Isije kuwa mpinzani akishidwa basi si demokrasia, na mtawala akishinda vivyo hivyo.
Kushindwa na kushinda vyote ni demokrasia.
Naipenda Tanzania ya leo
Inakuwa demokrasia endapo misingi yake yote imefuatwa kwa vitendo.
And vice versa is true.Sisi ni Taifa moja lenye umoja mshikamano, lenye lugha moja upendo na amani, lenye kuamini usawa na demokrasia,
Tuzingatie umoja wetu mwaka huu wa uchaguzi,
Isije kuwa mpinzani akishidwa basi si demokrasia, na mtawala akishinda vivyo hivyo.
Kushindwa na kushinda vyote ni demokrasia.
Naipenda Tanzania ya leo
AaInakuwa demokrasia endapo misingi yake yote imefuatwa kwa vitendo.
Sio upande wa pili ndio wanaona hivyo?..CCM wanaamini demokrasia maana yake ni wao kushinda na si vinginevyo.