cha kuchekesha CCM pamoja na kuimba kila siku wana vijana eti WASIRA ndio mwamba wao ....Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...www.jamiiforums.com
Mamluki kuondoka ni jambo jema Sana . Kwani Kuna wale walioaminiwa na Mungu na wale wanaomuamini Mungu. Chadema wameaminiwa na Mungu ndiyo maana kiongozi wake alinusurika ( Tundu lisu) . Mungu hawezi kufanya project ikaishia njiani
Hiyo siku SI mbali,Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...www.jamiiforums.com
Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".

Umoja ni nguvu.Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".

Acha waendelee na fitina zao ila CDM ndio inazidi kuchanja mbuga chini ya Lissu na uzuri ufahamu miongoni mwa watanzania ni mkubwa sanaNyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...www.jamiiforums.com
Safari hii wamefanikiwa ,CDM isijipe moyo ,TAYARI washagawana mbao!!! Chama hakiendeshwi kwa Mihemko.Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...www.jamiiforums.com
Braza utagawana mbao na shemeji huku CDM ikiendelea kupeta tu kama masikhara. Dhahabu lazima ipite kwa moto.Safari hii wamefanikiwa ,CDM isijipe moyo ,TAYARI washagawana mbao!!! Chama hakiendeshwi kwa Mihemko.
Chadema wamefanikiwa kuwapiga CCM ngumi ya 'upper-cut', ule wimbo wa CCM kuwa Chadema hakuna demokrasia na mwenyekiti kung'ang'ania madaraka iko chali sasa ni mwendo wa kuwabambikizia kesi na kuwatumia polisi kuwapiga.Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...www.jamiiforums.com
Kama ulikuwepo enzi za M1, M2, takriban miaka 10 iliyopita wapo waliosema unayosema leo kawaulize.Safari hii wamefanikiwa ,CDM isijipe moyo ,TAYARI washagawana mbao!!! Chama hakiendeshwi kwa Mihemko.