Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Mbowe ndo alikuwa na siasa za ubabaishaji?, Alikuwa na siasa za maigizo?Lissu ubabaishaji Hana, siasa za maigizo Hana...mungu amlinde Sana huyu jembe
Hebu lisikilizeni na linyumbu hili nalo, pumbavu kweli.Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...www.jamiiforums.com
Braza utagawana mbao na shemeji huku CDM ikiendelea kupeta tu kama masikhara. Dhahabu lazima ipite kwa moto.
Kama ulikuwepo enzi za M1, M2, takriban miaka 10 iliyopita wapo waliosema unayosema leo kawaulize.
Haswa!Hasa hii chadema ya Lisu 🤔
Mno broHaswa!
Sawa, kumbe umekariri kuwa walikopita CUF ya Lipumba na NCCR ya Mrema ndiko kila chama kinatakiwa kupitia. Usikariri maisha.Sawa kamanda ,kujipa moyo ni muhimu sana....kwasisi tulioifatilia CDM tangia enzi za Kabour ,hii ya sasa wamefikia kiwango cha juu cha kutibuana!! Pia fikiria vyama kama CUF ngunguli na NCCR ya Mrema na Mabere marondo.
Umekuwa Wassira.CHADEMA ya Lissu na Heche?
imekufa kifo cha mende.
Watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba.......
Kuzuia akaunti ndilo kubwa kwako, leo makamanda wako field huko Kagera Kanda ya Victoria mkuu achana na press conference za hotelini, wape mwezi mmoja hutawasikia tena uzuri wanajitoa wenyewe.Ile ilikuwa ndogo sana mkuu M1 ,M2 kina mwigamba ,kina mkumbo hauwezi kulinganisha na hii ,hii watu wanagawana mbao ,mpaka kufikia kwamba team mbowe wote wafukuzwe ,wanachama wanazuia hadi accounts siyo ya kupuuza.
Nina rafiki yangu ni Waziri, juzi kaniambia hili na kwamba anaiombea sana CHADEMA hii ya Lissu ifanikiwe, nimefarijika sana.Wengine tupo CCM ila mioyo Iko Chadema
Kila chama na mbinu zake halafu tambua kila zama na kitabu chake.NCCR na CUF zilikuwa na nguvu kuliko Chadema
Bado kitambo kidogo sana.Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.
Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.
Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.
Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.
Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.
Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.
Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.
Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.
Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.
Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.
Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.
Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.
CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika pale ilipo kwa kubebwa na vyombo vya dola imepambana kwa jasho la damu, haijafika hapo kwa kupata...www.jamiiforums.com
Na wakati ni UkutaNyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".

Vyama vya Madalali vyote hivyo😀😀NCCR na CUF zilikuwa na nguvu kuliko Chadema
Siyo kila chama inatakiwa kipite ,ni chama ambacho kwa wakati huo kitakuwa na ushindani na SISIEMU.Sawa, kumbe umekariri kuwa walikopita CUF ya Lipumba na NCCR ya Mrema ndiko kila chama kinatakiwa kupitia. Usikariri maisha.