Tulisikia Mh. Spika wa bunge la Jamhuri wa Tanzania akisema kuwa wabunge hao wataapishwa mwezi wa pili kutokana na sababu ambazo hazieleweki, kwanza kabisa wabunge hao wametangazwa kuwa washindi jumanne ya tarehe 16/11/2010 lakini kwa sababu hawakuwa na masilahi kitaifa tukakimbilia kuapisha haraka sana wabunge watatu aliowateua mh. JK jtano. Hii imekaaje wadau??
huyu mkwere...yaani hili kabila sina hamu nalo
Hao ndo CCM bwana mbunge kachaguliwa 2010 anaapishwa 2011
Ila nimefurai kuwa kuna watu hawatakuwemo kwenye baraza la mawazili bse sio wabunge