Kushindwa kumalizia Pesa ndio kikwazo kwa Simba kushindwa kupata jezi hadi Sasa

Barbra chupli sana, anamuingilia mzabuni kisa yeye ni CEO na anajuana na bosi, mzabuni nae hawezi kujisimamia.
 
Ni aiabu sana mtu mzima kuwa muongo muongo kiasi hiki.Hata kama hatufahamiani humu lakini walau basi uheshimu kuwa wanaosoma ni watu wazima wenye akili zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…