Kushindwa kurudia tendo kwa mwanamke niliyezoeana naye husababishwa na nini?

Kushindwa kurudia tendo kwa mwanamke niliyezoeana naye husababishwa na nini?

Joined
Sep 2, 2016
Posts
7
Reaction score
3
Habari wakuu mwenzenu nina kitabia cha kushindwa kurudia tendo endapo demu nimezoeana naye kwa muda mrefu,

Ila akiwa mgeni huweza kurudia hata mara 6 why inakuwa hivi?
 
Habari wakuu mwenzenu nina kitabia cha kushindwa kuludia tendo endapo demu nimezoeana nae kwa muda mlefu ila akiwa mgeni huweza kuludia ata mara 6 why inakuwa hivi
utakuwa unapiga punyeto sana, acha hiyo hali itakwisha, huyo demu wako utakuwa umemzoea sana kiasi kwamba unaona sio kitu tena
 
Kwa ushaur wang fanya mazoez sana na kama upo vzur tupiemo na mlo wa asil achana na mchanganyko wa viazi na mayai yasiyo na baba
 
ACHA NGONO MPAKA UOE. KUMBUKA NGONO NI DHAMBI NA MISHAHARA YA DHAMBI NI MAUTI
 
Punguza kumfunuafunua nguo.....unakuta hata siku hiyo hamjakutana kwaajili ya sex....lakini utataka kufunua na kumshikashika kila Mara...hilo nalo ni tatizo na ndio maana ikifika suala la sex matatizo kma hayo yanajitokeza..
 
Back
Top Bottom